SIRI YA BAFU (05)


 

Chombezo……………….SIRI YA BAFU!

Mtunzi……………………..Jack Mambo

Call…………………………..0716352102

Whtsp__0752761388/0744872552

UMRI______________18+


KUMBUKA GROUP ZINAPOTEA ILA PAGE ZINAISHI,ILI USIKOSE UHONDO WA HADITHI ZANGU INGIA HAPA LIKE PAGE YANGU,HAPO UTAKUWA NA UHAKIKA WA KUSOMA STORY ZANGU KILA SIKU ----👉👉👉  Story za Mambo 


SEHEMU YA 5


Sauti ile ilimchanganya Hamza na kumshtua,alitaka kuifananisha na sauti ya mama Jeni,lakini haikuwa yenyewe,wakati anajiuliza mlango ukafunguliwa Yule mtu akaingia ndani!

“Da Sheila!”,alihamaki baada ya kuona ni mwanamke anayemjua,japo hajamzoea sana,huwa anamuita tu na kumtuma dukani basi!

“Da Sheila umefuata nini hu…!”

“Shiiiiihh!wadogo zako watasikia!”

“Sa dada ume…!”

“We Hamza ukome tena ukome kuniita dada,mimi sijazaliwa tumbo moja na wewe,tena ukome kabisa hiyo tabia yako ya kuniita ita dada!”

“Jamani kwahiyo kosa langu kukuita dada?”

“Kosa lako kumliza mtu mzima bafuni!”

Hamza alishtuka mapigo ya moyo yakenda kasi,hakutaka kuamini kama Sheila amesikia kila kitu kilichotokea bafuni!

 “Sa unashtuka nini?au siyo wewe uliyokuwa unasema niite baba,usiniite dogo kuanzia leo,nikatie mama Jeni siyo wewe!”

Hamza alinywea akawa mdogo kama piltoni,aliamini kuwa anafanya mapenzi na mama Jeni ili kuficha siri yake lakini kitendo kile kimemuingiza matatani!

Sheila aliwaona sasa msala umekuwa mkubwa zaidi,sababu bora ule wa puchu ni yeye na sabuni yake,lakini huu ni yeye na mama Jeni na kibaya zaidi mama Jeni mke wa mtu!

Majanga ni endapo Sheila ataamua kusema juu ya alichokiona baina yake na mama Jeni,hapo ndipo kwenye utata!

“Vipi na mimi nikuiteje sasa?dogo au baba?”

“Da Sheila please usije ukasema mimi sijafanya kitu na mama Jeni!”

“Weeee!acha uongo tena mdanganye mwingine nimewasikia kabisa kwa masikio yangu,hadi alipotoka nilimuona!”

“Bahati mbaya tu Da Sheila!”

“Nimekukataza kuniita dada au hunielewi!”

“Sa mbona unapiga kelele baba ataniskia!”

“Ntaenda kumwambia we nizingue uone,hapa nisikilize tu nipe nachotaka basi tumalizane!”

“Unataka nini?”

“Na mimi nataka nikuite baba!’

“Mhhh!sa saivi wadogo zangu wamelala lakini!”

“Usijali twende kwangu!”

“Mhhh!kwako!!?”,aliuliza kwa mshangao!

“Ndiyo si unajua naishi peke yangu au umesahau eeh!”

Alisema Sheila muda huo akamsogelea kijana Hamza na kumbania ukutani,mkono wake akaupeleka na kulifungua taulo lake likaanguka chini akabaki na boksa tu!

“Lakini da….!”

“Shiiiiiiiiiiihhh!unanipea humuhumu au tunaenda kwangu!”

“Kwako,kwa…kwako tu…tunaenda kwako!”,alibabaika Hamza sababu mkono wa Sheila ulikuwa ndani ya boksa yake unaichezea bakora yake!

“Kumbe ndiyo maana Yule mama kalia eeh,unalo likubwa hadi raha oooohhhsiiiih!”

Alisema Sheila muda huo taratibu akaenda chini na kupiga magoti akataka kuitupa bakora nje lakini ghafla wakasikia mlango unagongwa!

“Ngo!ngo!ngo!”

Walishtuka Sheila akamuangalia Hamza ambaye naye hakuwa akielewa nani aliyekuwa anagonga mlango kwa sauti ya mbali namna ile!

Aliogopa sana akidhani pengine ni wazazi wake ndiyo wanagonga mlango,akasogea mlangoni huku kijasho chembamba kikimtoka!


*****


Mama Jeni baada ya kutoka bafuni alienda kwake akaingia na kumkuta mumewe akiwa amelala hana habari kabisa juu ya kinachoendelea!

Alisimama akamuangalia mumewe kwa sekunde kadhaa,alimlaumu sana mumewe kwa kumpimia mapenzi,aliamini kabisa tabia hiyo ndiyo iliyomfanya aangukie kwenye penzi la Hamza ambalo hakudhani kama atachomoka maana dogo mwenyewe anajua mambo hatari!

“Mhh!umeyataka mwenyewe baba,ngoja wakusaidie kula si umekuwa kibogoyo!”

Alijisemea Mama Jeni kisha akakaa kitandani,hapo akili na mawazo yake yote yalikuwa kwa Hamza.Kijana mdogo aliyempatia mapenzi ya ukweli!

“Mhh!huyu dogo huyu mmh!itakuwa kafuata kwa baba yake maana hata mama Hamza sijawahi kumuona na michepuko,katulia kama maji ya mtungini!”

“Mhhh!hili toto hili sijui la nje ya ndoa,mbona litamu hivi?eti niite baba na mimi naye bila aibu babaaa,wewe ni babaaaa,mmmh!yani kunipelekesha mtu mzima miye na kijasho kinanitoka jamani mmh!”

Mawazo ya mama Jeni yalikuwa kwa Hamza tu,mwanaume ambaye kwa hakika alimteka akili yake jumlajumla bila hata chenji!

“Hivi katakuwa na hela ya kula shule aka kweli?mmh!ebhu ngoja nikapelekee bhana,kama pongezi ya kazi nzuri!”

Mama Jeni alichukua pochi yake akaangalia akiba yake ambayo ilikuwa na kama laki tano za biashara yake anayozungusha mtaani!

Alichomoa noti ya shil;ingi elfu tano  akatoka mpaka mlango anaolala Hamza na wadogo zake alifika akagonga bila kujua ndani yupo Sheila ambaye naye analitaka penzi la Hamza kwa udi na uvumba!

“Hamza ni mimi bhana fungua!”,alisema Mama Jeni nbaada ya kuona Hamza kapata kigugumizi kwenye kufungua mlango!

JE NINI KITAENDELEA?NANI KAFUMANIWA SHEILA AU MAMA JENI!?

#FULL_____SH_3500/=

#KIPANDE_SH_100/=

Lipia hapa 0716352102 (Tigopesa) au 0744872552 (mpesa)...jina Khadija matengula Kisha njoo whatsap 0752761388

#USISAHAU_KULIKE

#USIACHE_KUKOMENTI

#SHARE_KWA_WINGI

#Mtag_rafiki_yako_anayependa_hadithi_ushindeeeeeee🔥🔥🔥

Previous Post Next Post