Chombezo……………….SIRI YA BAFU!
Mtunzi……………………..Jack Mambo
Call…………………………..0716352102
Whtsp__0752761388/0744872552
UMRI______________18+
KUMBUKA GROUP ZINAPOTEA ILA PAGE ZINAISHI,ILI USIKOSE UHONDO WA HADITHI ZANGU INGIA HAPA LIKE PAGE YANGU,HAPO UTAKUWA NA UHAKIKA WA KUSOMA STORY ZANGU KILA SIKU ----👉👉👉 Story za Mambo
SEHEMU YA 6
Hamza ni kama alishikwa na kigugumizi Cha maamuzi,alishindwa aamue nini?kufungua mlango ama lah!
Ndani kulikuwa na mwanamke na nje Kuna mwanamke pia!
"Fungua mlango!",alisema Sheila!
"Nafungua halafu inakuwaje?",alihoji Hamza!
"Acha maswali ya kijinga basi ngoja nikafungue Mimi!"
"Basi!basi!subiri nikafungue mwenyewe!"
Hamza hakuwa na namna ilibidi akafungue yeye mlango maana angefungua Sheila ungeweza kutokea fujo,Jambo ambalo hakutaka litokee sababu baba yake akisikia utakuwa msala mkubwa mno!
Alifungua mlango akatoa kichwa nje akamuona Mama Jeni kajaa tele,kasimama na kanga yake anatabasamu tu uso unang'aa na mwanga wa mbalamwezi!
Mama Jeni ni kama hakuridhika baada ya Hamza kutoa shingo tu nje,ndiyo maana akamvuta akatoka mzima mzima mpaka nje!
"Vipi?",alihoji Hamza muda huo anahofu sana sababu walipo ni Karibu Sana na dirisha ambalo wamelala wazazi wake!
"Jamani Hamza mi nimekuletea tu zawadi nzuri uliyoifanya bafuni,unahitaji zawadi maana siyo kwa mahaba yale,mpaka najiuliza we mtoto au mtu mzima!"
Aliongea Mama Jeni bila aibu mbele ya kijana ambaye kwa hakika Kama angewahi kuzaa basi angekuwa mwanaye kabisa!
"Mmmh!mi hata sijafanya kitu jamani!"
"We wasema lakini mimi najua ulivyonichanya hadi nakuita baba jamani unadhani mchezo!"
"Mhh!Aya nipe zawadi nikalale hakuna usalama hapa,mazingira si unayaona!"
Mama Jeni alimvutia kwake kijana yule akamkumbatia na kumuangushia mabusu kadhaa,Kisha akamshikisha kitu Kama karatasi mkononi!
"Hiyo usifungue mpaka ukifika ndani!"
"Sawa!"
Mama Jeni alipitisha mkono na kumshika bwana utamu ambaye alikuwa kasimama kama hajatoka kumuadabisha mtu bafuni!
"Mhhh!wewe baba wewe,siumetoka kunifanya Bafuni jamani,tena saivi umesimamisha namna hii jamani!",alisema mama Jeni sababu alishazoea penzi la mumewe akimaliza bao moja tena hatumii muda mrefu basi hapo ni mpaka kesho kuiona imesimama tena!
Kwa akili yake yeye alijua Hamza amesimama baada ya kumuona hapo,bila kujua kuna mwanamke kwenye chumba Cha Hamza na wadogo zake na yeye anataka penzi Kama alilopewa yeye bafuni!
Mama Jeni aliichua bakora ya Hamza ambayo imemfanya akavunja madafu kadhaa bafuni,moyoni alikiri kweli Hamza ni kijana mdogo aliyebeba makubwa!
Kama haitoshi Mama Jeni akamuaga Hamza kwa denda tamu la kifaransa Kisha akamuachia,Ila kabla hajaondoka akamwambia!
"Hatakiwi mtu kujua kilichotokea,tunza hii siri mpenzi,hii ni 'SIRI YA BAFU'
"Hahahahahaha!",alicheka Hamza basi Mama Jeni ni kama alikuwa amechanganyikiwa zaidi na penzi la kijana Hamza ,akataka amkumbatie tena ghafla wakasikia baba Hamza anakohoa!
"KOH!KOH!KOOH!"
Hapo hakuna aliyemsubiri mwenzie,kila mtu alipita njia yake,Hamza aliingia ndani na Mama Jeni akatimkia kwake!
Ile Hamza ameingia ndani tu Sheila akamvuta akamkamata mkono ili aone Mama Jeni kampa nini?
"Nini lakini Sheila?"
"Tulia wewe Leta nione amekupa nini?Limama lizima halina haya hili!",alisema Sheila akajisahau kuwa hata yeye kamzidi miaka Hamza japo si sana Kama Mama Jeni!
Alifanikiwa kuufungua mkono wa Hamza na kujionea noti ya shilingi elfu tano,Kama zawadi kutoka kwa mama Jeni!
"Khaaaaaaahh!huyu mwanamke huyu si nimemuomba buku mbili jioni aniazime tu akasema hana pesa,saivi amekupa elfu tano!"
Alishangaa sana Mama Jeni akaona kama Mama Jeni alimnyima pesa ilihali alikuwa nayo kabisa!
"Ni mara ya ngapi leo mnafanya mapenzi?",alimhoji swali Hamza!
"Ya kwanza!"
"Mmhh!muongo wewe yaani mara ya kwanza tu ndiyo huyu achanganyikiwe hivi?"
"Kweli ni mara ya kwanza leo!"
"Okay,hainihusu hata ivyo,nataka ukanipe kilichomchanganya huyo mwanamke la sivyo naenda sasa hivi kwa baba yako kukuchoma kuwa nimekukuta mnafanya mapenzi bafuni,Kama mnajidanganya ni SIRI YA BAFU' mnajidanganya!"
Alisema Sheila muda huo Hamza hasemi kitu anamuangalia tu binti yule ambaye kwa hakika ni mzuri,maana hata yeye alikuwaga anammezea mate siku nyingi,sema kumwambia ndiyo hasingeweza sababu bado no mkubwa kwake!
"Acha kuzubaa twenzetu!",Sheila alimshika mkono Hamza ili atoke naye nje muda huo Yuko ndani ya pensi tu!
"Subiri nivae basi!"
"We jifunge taulo tu sitaki uvae manguo mengi ukanisumbue kukuvua huko Mimi!"
Hamza alivuta traki yake akaitupia mwilini na singlendi kisha akatolewa mkuku mkuku mpaka mlangoni kwa Sheila!
Walifika wakazama ndani,Sheila akaufunga mlango vizuri Kisha akamgeukia kijana Hamza,akamuangalia kwa muda Kisha akaanza akaivua kanga yake na kuiweka pembeni!
Kama haitoshi akavua na chupi yake akaiweka pembeni,macho yake yalikuwa yamelegea kama ametoka kutafuna kungu,kumbe wala ni kiu cha mapenzi alichokuwa nacho!
Alisimama akachukua kibanio na kuzibana nywele zake,alijua kwa timbwili linaloenda kutokea si ajabu kila kitu kikavurugika!
Alimsogelea Hamza akamkumbatia Kisha akamuambia sikioni!
"Show me what you gat boy!(Nionyeshe ulichonacho kijana)"
JE NINI KITAENDEA?HAMZA ATAMUWEZA SHEILA?
#FULL_____SH_3500/=
#KIPANDE_SH_100/=
Lipia hapa 0716352102 (Tigopesa) au 0744872552 (mpesa)...jina Khadija matengula Kisha njoo whatsap 0752761388
#USISAHAU_KULIKE
#USIACHE_KUKOMENTI
#SHARE_KWA_WINGI
#Mtag_rafiki_yako_anayependa_hadithi_ushindeeeeeee🔥🔥🔥