Chombezo……………….SIRI YA BAFU!
Mtunzi……………………..Jack Mambo
Call…………………………..0716352102
Whtsp__0752761388/0744872552
UMRI______________18+
KUMBUKA GROUP ZINAPOTEA ILA PAGE ZINAISHI,ILI USIKOSE UHONDO WA HADITHI ZANGU INGIA HAPA LIKE PAGE YANGU,HAPO UTAKUWA NA UHAKIKA WA KUSOMA STORY ZANGU KILA SIKU ----👉👉👉 Story za Mambo
SEHEMU YA 10
Licha ya uhodari aliouonyesha Hamza usiku wa kuamkia jana,lakini nyuma ya pazia ni muoga sana hasa wa wanawake!
Ndiyo maana akaishia kufanya tu mapenzi na mpenzi sabuni tangu abalehe!
Siku hiyo Zainabu alishangaa sana kumuona Hamza amejikaza na kumuongelesha,huwa anamtamani siku nyingi maana ana kisura fulani hivi wanapenda watoto wa kike!
Ukimya wake na kujiweka mbali na wanawake ndiyo sababu kubwa binti yule akawa anakula kwa macho tu!
Siku hiyo alishangaa sana kumuona kijana Hamza kajitutumua na kuja kumuongelesha!
"Kaa Hamza naona umebalehe leo,umeacha aibu zako eeh!",alisema Zai huku akitoa daftari alilohesabia namba!
Hamza alikuwa kimya tu hana neno kijana wa watu mpole Kama siye aliwaliza watu wazima usiku wa Jana!
"Kuna namba 18,35,36 na 37,sijui utachukua ngapi hapo!".
"Nipe 18!"
"Kwanini hiyo?"
"Sababu unasema nimebalehe!"
"Mmhh!!ni wewe Hamza au mwingine?mbona umechachuka sana leo!"
Zai alipigwa na butwaa,akashangaa sana kuona Hamza ameongea siku ile!
"Mi nasepa nimechukua hiyo 18!"
"Subiri kwanza handsome!",alimshika mkono akamketisha chini!
Hamza alimgeukia Zainabu wakawa wanatazamana machoni,yeye akawahi kuyatoa macho yake na kuyashusha chini!
Zai akaushusha mkono wake na kuushusha juu ya paja la Hamza,akawa Kama anamminya fulani hivi!
Hali ile haikumshangaza kabisa Hamza,alishasikia Mara kadhaa watu wanasimulia habari za Zai kuwa ni mapepe halafu ni mwanamke rahisi hasa akikupenda!
Wakati wapo kidato cha kwanza alishawahi kufumwa chooni akipelekewa Moto na mwanafunzi wa kidato cha sita ambaye ameshamaliza shule muda huo!
Walikuwa ndiyo kwanza wameripoti shule Wana wiki moja tu lakini ndiyo ivyo Zai akafumwa chooni!
Ulikuwa ni msala mkubwa nusu wafukuzwe shule,wazazi wake wakapambana na kumbakisha shule!
"Hamza!",Zai alimuita kwa sauti ya chini!
"Na..naam!"
"Wewe kuanzia leo ni shemeji wa darasa!"
"Unamaanisha nini?"
"Umependwa na kiongozi wa darasa,Sasa unategemea nini?"
"Kwahiyo umenipenda!"
"Kitambo sana handsome,kitambo sana ahsante kwa kuja leo!"
Aliongea Zai huku macho yake yamelegea haswa,hakujali hata baadhi ya wanafunzi waliokuwa darasani,akaupitisha mkono wake mpaka kwenye usawa wa zipu ya Hamza akataka kuifungua!
Ghafla Hamza alishtukia amekabwa akainuliwa juu nakubanishwa ukutani na jamaa mmoja mbabe mwanafunzi wa kidato cha sita!
"We ndo unajifanya kidume eeh,nilikuwa nakutafuta utanitambua,unatokaje na demu wangu!"
"Frank!Frank muachie muachieee!",alifoka Zai lakini ndiyo kwanza Frank alikunja ngumi akamtwanga Hamza ya tumbo akaugulia maumivu!
Hamza akawa amenunua kesi ambayo si yake,hakuwa na mahusiano na Zai,ndiyo kwanza Mara ya kwanza wanaongea!
"Frank hivi una nini?muache bhana acha kumpiga nipige mimi bhana!",alisema Zai akijaribu kumtoa Hamza kwenye kabali lakini Frank alionyesha kuwa na nguvu maana ni mtu wa mazoezi!!
*****
Siku hiyo Mama Jeni na Sheila walichelewa kuamka,Bora hata Mama Jeni aliwahi kidogo kuliko Sheila!
Wote walionekana kuwa na usiku mrefu sana,usiku ambao kijana Hamza aliwashughulikia haswa!
Wakati Mama Jeni anawaza kuwa kufanya mapenzi na Hamza ni Siri ya bafu,hakujua kuwa Kuna mtu aliwaona na anajua siri yao!
Aliamka akaendelea na shughuli zake Kama kawaida,akawa anajiandaa kwenda kwenye mihangaiko yake!
Sheila aliamka mida ya saa nne,akabeba maji na kwenda bafuni kuoga,wakati anatoka tu akakutana na mpangaji mwenzake wa kike ambaye naye hajaolewa ni baamedi kwenye baa moja mitaa ya magomeni!
"Mmh!Sheila Leo umechelewa kuamka huendi kazini shoga yangu?"
"Naenda sema nimechoka choka tu!"
"Umechoka au umechoshwa,nimekusikia shoga naona ulikuwa na kidume mbegu,yowe kama unakata roho shoga,uwe unaziba mdomo bhana unatutesa wengine!"
Sheila alipigwa na butwaa hakujua kuwa makelele yake ya usiku akihenyeshwa na Hamza yalimfikia mpaka jirani Yake,kwa aibu akamsogelewa!
"Mmh!Siri yako basi na wewe Monica jamani,mpaka kila mtu ajue nimepatikana Jana?"
"Mmh!hongera shoga maana si kwa yowe lile,nilikuonea wivu nikatamani nikugongee maana nimetoka kutiwa shombo na mlevi mmoja huko basi nilikuwa nawashwa hatari!"
"Nikupe namba zake nini?"
"Nipe,nipe shoga sifuri saba au sifuri sita...!"
"Hahahahahaha!Mwajabu ebhu niache Mimi!"
"Jamani kuwa serious basi Sheila!"
"Wee!Nani kasema?utamu wa chipsi zege ule mwenyewe shoga!"
"Uchoyo huooo!"
Sheila alienda bafuni akaoga Ila wakati anatoka akakutana na Mama Jeni,hapo alikuwa na hasira naye sababu alimuomba elfu mbili Jana jioni akasema hana,halafu akaja kumpa Hamza elfu tano!
"Sheila umeamkaje!"
"Salama mama mwenye siri zake za bafuni!"
Mama Jeni alipigwa na butwaa,akajiuliza maana ya kauli ile lakini akakosa jibu!
"Umesema?"
"Shikamoo bi mkubwa mla watoto!",Sheila alisema huku anaenda zake!
Mama Jeni akaona usinitanie alipozama tu ndani na yeye akazama humo humo!
"We Sheila,kwanini unanitusi nimekukosea nini shoga yangu?"
"Umekosea kufanya mapenzi na Hamza bafuni!"
JE NINI KITAENDELEA?MAMA HAMZA ATAFANYA NINI SIRI YA BAFUNI IMEFICHUKA!
#FULL_____SH_3500/=
#KIPANDE_SH_100/=
Lipia hapa 0716352102 (Tigopesa) au 0744872552 (mpesa)...jina Khadija matengula Kisha njoo whatsap 0752761388
#USISAHAU_KULIKE
#USIACHE_KUKOMENTI
#SHARE_KWA_WINGI
#Mtag_rafiki_yako_anayependa_hadithi_ushindeeeeeee🔥🔥🔥