HISTORIA YA GAIDI KENNY (02)




Simulizi ya kweli.......SARAFINA SEASON 3(Historia ya GAIDI KENNY)

Msimuliaji.................Kenny Jonas

Mwandishi................Jack Mambo

Whstp..0752761388/0744872552

Call............................0716352102

Umri...........................18+


GROUPS ZINAPOTEA LAKINI PAGE ZINAISHI... LIKE PAGE YANGU ILI USIKOSE HADITHI ZANGU KILA SIKU IITWAPO LEO KARIBUNI...👉👉👉Story za Mambo 

Sehemu ya 2🖤

Hisia zilikuwa kali mno,muda huo Vivian kaitandika kanga yake chini itumike kama kitanda wakati wa tendo la ngono!

Baada ya kunipa mtihani wake,Vivian aliamua kunipoza na penzi tamu!

Ooh!Vivian!Vivian alikuwa mrembo haswa,umbo lake zuri lilinifanya niamshe hisia kila nilipomuona!

Vivian alikuwa amenikumbatia kwa nguvu chuchu zake zikinichoma kifuani!

Pumzi alizotoa alionyesha ni wazi kuwa hakuna kitu anachotaka muda ule zaidi ya kufanya mapenzi!

Baada ya kugusana hapa na pale ndipo nikamlaza chali mwali wangu,kwenye kanga yake mwenyewe!

Vivian akalala chali macho yake yakiwa malegevu kama mtu mwenye usingizi mzito sana!

"Kenny",aliniita kwa sauti ndogo ya puani!

"Naam mpenzi!"

"Leo si ndiyo ya mwisho kunifanya hapa?"

"Ndi...ndio babe!"

"Aya nifanye mpenzi!"

Kauli yake ilinifanya niamshe hisia Mara kumi zaidi,nikamshika askari wangu na kumuingiza kwenye kituo chake ambacho amekuwa akiingia mara kadhaa!

Utamu wa joto la ikulu ya Vivian ulinifanya nifumbe macho yangu,kiuno cha binti yule kikinisindikiza taratibu bila pupa!

"Nakupenda Vivian!"

"Na...na..na..kupe...nda piaaa!"

Mapenzi ya Vivian siku zote yalinifanya nijione nina bahati Sana kuwa naye!

Kwa wakati ule ungeniuliza nichague pesa au Vivian,nadhani kura yangu ingeangukia kwa mlimbende yule mwenye uzuri wa kipekee!

Baada ya kuvurugana kwa muda kwenye majani,basi tuliachiana huku kila mmoja akiwa ameridhika!

 Nilikuwa na kazi ya kumtoa majani yaliyokuwa yamemnasia Vivian kichwani,naye pia alifanya ivyo!

Nilimkumbatia kwa nguvu tukaagana kwa mabusu mengi huku Vivian akinisistizia nifanye tulivyoahidiana!

Hivyo ndivyo ilivyokuwa!

*****

"We Kenny!we Kenny!Ina maana huoni kama kumekucha?"

"Naamka mama!"

Sauti ya mama ndiyo ilinitoa kwenye mawazo na kumbukumbu ya matokeo ya siku iliyopita!

Niliamka nikajiandaa Kisha nikaondoka kuelekea  shuleni!

Mawazo yangu hapo yalikuwa ni kuwaza tu napata wapi pesa ili niwe nalipia gesti nafanya mapenzi na Vivian!

Siku hiyo hata darasani sikuwa sawa,nilikuwa kila nikimuangalia Vivian napata mawazo sana!

Ajabu wala Vivian hakuwa na mawazo Kama mimi,kila nikimuangalia alionekana mwenye furaha akicheka na kufurahi na marafiki zake!

Mmoja Kati ya marafiki zake alikuwa huyo Fahyma aliyemsema kuwa anatoka na Idrisa,kijana ambaye kwanza akili za darasani hana kabisa!

Sifa zake ni biashara chafu na kuongoza magenge ya kihuni darasani na mtaani!

"Ina maana Vivian anataka niwe kama Idrisa?",nilijiuliza lile swali lakini sikupata jibu!

Basi nilisoma ivyo ivyo kwa tabu siku ile mwisho ukafika muda wa kurudi nyumbani!

Niliondoka siku ile hata sikuongozan


a na Vivian kabisa,nilijihisi siko sawa kiakili na kihisia!

Nilifika nyumbani nikapaki mizigo yangu kisha nikatoka na kwenda mtaani!

Huko nilizunguka nikiangalia kama naweza kupata kazi yoyote isiyo ya kihuni nikapata walau hata senti kidogo za kulipia gesti nifanye mapenzi na mpenzi wangu!

Nilizunguka mwisho nikabahatisha kupata kwenye sehemu moja ya kuoshea magari!

Hapo nikawaomba niwe nafanya kazi muda ambao ntakuwa natoka shule,yaani jioni tu wakakubali na kuniambia nitakuwa nalipwa mia tano kwa kila gari!

Kwa kuwa nilihitaji pesa niliwaomba nianze kazi siku ile ile,Walikubali nikakaa kwanza kuangalia jinsi wanavyoosha kisha ilioyokuja gari nyingine nikaanza kuosha na Mimi!

Siku ile niliosha magari matatu tu,nikatoka na 1500 tu,nilifurahi sana nikaiweka Ile pesa kibindoni Kisha nikarejea nyumbani!

Hiyo ikawa tabia yangu kila nikitoka shule naenda pale Car wash nafanya kazi na kuondoka na pesa kiasi!

Mpaka inafika wikiendi yaani Ijumaa nilikuwa na kama elfu kumi na tano hivi!

Nilifurahi sana siku hiyo nikampa ujumbe mpenzi wangu Vivian,nimtaarifu kuwa nilikuwa na pesa ya gesti tayari!

Nilimtumia ule ujumbe lakini wala hakunijibu hata hakuonyesha kutabasamu!

Mi sikujali nikajua atakuwa tu bize,basi nilitoka shule siku ile huku nikiwa na furaha sana,nikiamini kesho yake ambayo ni Jumamosi tutakutana gesti na Vivian na kufanya mapenzi Kama kawaida!


Kesho Yake ilifika muda ukaenda mpaka ulipokaribia muda wa miadi basi nikawahi mpaka kwenye Ile gesti niliyomuomba Vivian tukutane pale!

Nilifika nikauliza nikaambiwa ni elfu kumi,nikalipia kabisa Ile elfu tano nikaona nikanunue kabisa soda walau siku hiyo kabla ya kufanya Mambo yetu tupate hata vinywaji!

Nilitoka nje nikaenda sehemu ya Vinywaji nikachukua soda mbili!

Wakati narudi kwenye chumba changu,ndipo nilipatwa na mshtuko!

Nilishangaa kumuona mpenzi wangu Vivian akitoka kwenye chumba kimoja mle na mpenzi wa rafiki yake,yaani Idrisa!

Nilikuwa wa kwanza kumuona nikapatwa na mshangao mkubwa!

"Vivian!",niliita kwa mshangao!

JE NINI KITAENDELEA?KENNY ATAFANYA NINI?


UNAWEZA KUPATA HADITHI HII HADI MWISHO KWA SH 5000/= TU

Lipia hapa ðŸ‘‰ðŸ‘‰ðŸ‘‰0716352102 AU 0744872552 (NAMBA ZOTE ZIPO WHATSAPP!


#LIKE #LIKE #LIKE

#COMMENT #COMMENT #COMMENT

#SHARE #SHARE #SHARE

#MTAG_RAFIKI_YAKO_MFURAHIE_UTAMU_WA_HADITHI_PAMOJAAAAAA! 

Previous Post Next Post