Chombezo……………….SIRI YA BAFU!
Mtunzi……………………..Jack Mambo
Call…………………………..0716352102
Whtsp__0752761388/0744872552
UMRI______________18+
KUMBUKA GROUP ZINAPOTEA ILA PAGE ZINAISHI,ILI USIKOSE UHONDO WA HADITHI ZANGU INGIA HAPA LIKE PAGE YANGU,HAPO UTAKUWA NA UHAKIKA WA KUSOMA STORY ZANGU KILA SIKU ----👉👉👉 Story za Mambo
SEHEMU YA 12
Zai ni kama alikuwa anamuelewa siku nyingi kijana Hamza,ila hakuwahi kuipata nafasi ya kuwa naye Karibu kutokana na jinsi Hamza anajiweka mbali na wanawake!
Baada ya kumuona kantini anakunywa chai na chapati akajiongeza kumchukulia supu kijana Yule ambaye ana muonekano wa kuvutua ila akili ndiyo hazimo!
"Vipi unamuogopa Frank bado?au na wewe siku nikikuacha utaniletea wivu kama wake?"
Swali la Zai lilimshangaza sana Hamza,akajiuliza lini wamekuwa wapenzi?Ila akaona hasimtoe Zai kwenye reli akaamua kutembea kwenye njia yake!
"Mimi huwezi kuniacha!",alisema kwa kujiamini Hamza!
Zai ni kama hakutegemea jibu like kutoka kwa Hamza,ndiyo maana akaacha kwanza kula akamuuliza!
"Eti umesema?"
"Ina maana hujasikia?"
"Ndiyo,ebhu rudia!"
"Nimesema hivi,huwezi kuniacha mimi labda nikuache wewe!"
"Hahahahaha!kumbe una maneno hivi,unajiamini nini Hamza?"
"Najiamini tu kuwa huwezi kuniacha wewe!"
"Kwanza hujaniambia kitu kimoja Hamza!"
"Kitu gani?'
"Nikikupa utawezana!"
"Nikuulize wewe hilo swali,vipi hautonikimbia chumbani?"
"Hamza kumbe una dharau hivi?"
"Siyo dharau,nahofia utanikimbia halafu iwe balaa!"
Maneno ya Hamza aliyatafsiri kama dharau Zai,siku zote anaamini hakuna mwanaume anayeweza kumuacha yeye,na ndiyo maana tangu aanze mahusiano na kutoka na wanaume kadhaa hajawahi kuachwa,ni yeye huwa anawapiga chini na wengine wanamlilia kabisa wakitaka penzi lake!
Alijiamini anajua mapenzi,ndiyo maana wanamlilia,sasa iweje Hamza aseme eti anaweza kumkimbia,ilihali ameshatembea mpaka na watu wazima huko mitaani na hajakimbia mtu!
"Hamza unanichukulia powah eeh!"
"Kwani mimi unanionaje Zai?"
"We kijana mdogo sana,nikikupa utanililia kama kichanga kinavyomlilia mama Yake!"
"We bado sana Zai,uliokutana nao ni makinda tu hawajui lolote kuhusu mapenzi!"
"Niahidi kitu Hamza!"
"Kitu gani?"
"Wikiend hii tutafanya mapenzi!"
"Ooh!Mimi hata leo niko fresh,unataka ukasome kwanza eeh!"
"Hapana Hamza nahitaji siku hiyo tuwe na muda ili usije ukasingizia kitu!"
"Sawa hakuna shaka!"
Kwa jinsi walivyokuwa wamesogeleana karibu,Zai alipitisha mkono na kumshika Hamza kwenye usawa wa zipu yake,akakutana na bakora imevimba hatari!
"Kijana maongezi tu umesimamisha hivi,je nikivua nguo siutazimia wewe!"
"Hii ndiyo ishara kuwa hii haibipiwi,inapiga na iko hewani muda wote Kama simu ya customer care!"
"Hahahahah!"
Walitoka hapo wakarudi darasani,si muda mwalimu akaingia kugawa mitihani waliyofanya siku si nyingi!
Siku hiyo Kama kawaida Zai akaonyesha umwamba,alikuwa wa kwanza kwenye mtihani ule wa Fizikia akiwaacha mbali wapinzani wake!
Ndugu yetu kama kawaida,alijaliwa bakora tu vingine hakubahatika,alikuwa miongoni wa watu kumi waliofanya vibaya kutoka mwisho,akachukua matokeo yake na kurudi kwenye kiti chake!
Atafanyaje sasa?maana hata akijaribu kusoma haelewi,akisema akeshe anakariri kesho Yake hamna hata moja kichwani!Alishazoea kabisa kuwa yeye ni kilaza basi!
Muda wa kutoka darasani ulifika akabeba kila kilicho chake akaondoka zake kwenda kupambana na makondakta wa daladala kurudi nyumbani!
*****
Kaka yake Sheila alikuwa na uchu si kawaida,alikuwa anamuwinda siku nyingi sana Mama Jeni lakini kila mtego alioweka ulinasuliwa!
Hakujua dada yake alifanya nini kumshawishi mpaka akakubali,alikagua gari yake kama Ina mafuta ya kutosha Kisha akajiandaa na kuanza safari ya kuelekea Tandale kwa tumbo!
Alifika moja kwa moja akaenda kwa dada yake,akamkuta Sheila ameshatoa Ile pesa kanunua zake Chipsi kuku na Mirinda baridi anajinafasi bila pupa!
"Aaah!sista huyo!"
"Aaah!braza huyo!",aliinuka na kumlaki Kaka Yake ambaye kimuonekano tu alionekana ni mtu mwenye pesa zake,Hana shida ndogo ndogo kabisa!
"Nambie sasa sista unajua umenichanganya sana,yaani imebidi nihairishe kila kitu nije!"
"Usijali we si ulitaka Mambo,lile wowowo lilikuchanganya sasa kazi kwako!"
"Hivi amekubali kweli??"
"Tulia kaa hapo nikakuitie toto lile,lililosusiwa minyama hiyoo!"
"Hahahahah!nakuaminia sista!"
Ilibidi atulie Sheila akatoka mpaka kwenye mlango wa Mama Jeni akagonga akafunguliwa,bila kukaribishwa akazama ndani!
"Shoga kumekucha bro kashatimba,hapa napokuambia yuko ndani kwangu anakusubiri kwa hamu zote!"
"Eeh!Sheila jamani mbona ghafla,hata sijajipanga jamani!"
"We jana ulijipanga bafuni?wewe nenda kaoge Kama vipi mi nakusubiri uje kwangu!"
"Mmh!kwahiyo anataka saivi jamani?"
"Ndiyo sa unataka umpe sangapi?"
"Huogopi macho ya watu Sheila,hivi mi naingiaje kwako halafu ndo unaniacha na Kaka yako kweli?"
"Wewe njoo mtaelewana tu!"
"Sawa nakuja!"
"Aya usiniangushe!"
"Lakini Sheila unajua kile kitoto jana kimenivuruga hata sina hamu kabisa,kwanza naskia huku chini kunauma!"
"We shoga acha hizo habari njoo umalizane na Kaka yangu kwanza!"
"Mmhh!Aya sawa!"
Sheila aliondoka na kumuacha Mama Jeni akiwa kwenye mawazo,hapo alikuwa nawaza aende au hasiende!lakini wazo la kutokwenda lingemgharimu kupoteza ndoa yake!
JE MAMA JENI ATAENDA?NA JE ITAKUWAJE?
#FULL_____SH_3500/=
#KIPANDE_SH_100/=
Lipia hapa 0716352102 (Tigopesa) au 0744872552 (mpesa)...jina Khadija matengula Kisha njoo whatsap 0752761388
#USISAHAU_KULIKE
#USIACHE_KUKOMENTI
#SHARE_KWA_WINGI
#Mtag_rafiki_yako_anayependa_hadithi_ushindeeeeeee🔥🔥🔥